WAZIRI AWESO AWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI BUNGENI

Na Barnabas Kisengi-Dodoma Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2021/22 jumla ya Shilingi Bilioni 680.3 Akiwasilisha bejeti hiyo Waziri Aweso ameeleza mafanikio yaliyopatikana kutokana na utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya maji katika kipindi cha Julai, 2020 hadi Machi, 2021